Quantcast
Channel: MAFUNDISHO – Strictly Gospel
Browsing latest articles
Browse All 46 View Live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yesu asema na John Mulinde!

Bwana asifiwe wapendwa Nawasalimu nyote kwa Jina la Yesu Kristu. Naombeni mkipata nafasi msikilize huyu mtumishi wa Mungu kutoka Uganda anaitwa John Mulinde “After working in the power of the Holy...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vuka Historia Yako

Bwana YESU Asifiwe, kwanza nataka ujue kuna watu HISTORIA ya Maisha yao imesimama hapo hapo haiendi mbele wala hairudi Nyuma,Wakati Mwingine hali hii imesababisha hata watu wako wa karibu waone hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatua kwa Hatua na Bwana

Amani ya Bwana iwe nanyi enyi nyote,   Baraka nyingi za Kiroho na Kimwili tayari tunazo na zinajidhirisha ktk macho ya nyama na rohoni lakini pia zile zinazofahamika kama kubwa-kubwa tunazotakaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa watu wa Mungu!

Watu wa Mungu, ashukuriwe Mungu atupaye uzima na ya kwamba tu hai tena kwa neema yake. Tunalo la kujivunia lakini si katika miili hii tuliyo nayo bali kwa kuwa tumeipata neema ya Jehova. Ndugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ijue Vita yako – 1

IJUE VITA YAKO UTANGULIZI: Biblia hutueleza kuwa mkristo anayo vita anayopaswa kupigana katika maisha haya. Ingawa vita si jambo linawafurahisha watu wengi, hata hivyo biblia inasema kwa mkristo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUSHINDANIA IMANI

. Historia imejaa simulizi ya watu waliotetea na kushindania imani zao dhidi ya upinzani. Wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari za wokovu ambao ni wetu sisi sote, Naliona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiwango cha Mungu – Double Agent

UTANGULIZI. Pamoja na mabadiliko makubwa ya nyakati zetu katika siasa, uchumi utamaduni (maadili) na kidini. Mungu anacho kiwango chake ambacho ndicho anakubaliana nacho katika maisha yetu. Ili tuweze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Finish What You’ve Started

Have you ever started a project and not finished it? Or put a dream on hold because other things got in the way? I think we’ve all experienced these frustrations at some point in our life. The truth...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTISHO WA KUFUFUKA!!

MAANDIKO: YOSH. 5: 1 (YOSH. 2: 1 – 24) Mojawapo ya ahadi toka kwa Mungu wetu tunayemtumikia, ni pamoja na kutuma utisho wake mbele yetu (utisho wa Mungu wetu) huwa unatangulia daima mbele na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

How God See us!!

Most of us look at ourselves in a mirror daily. We see what we see. You see yourself through your eyes and from perspective. Have you ever thought about how God sees you? Actually that thought scares...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

This is What Happens When We Worship the Lord

by Pastor Tim Burt One morning while I was praying and worshiping the Lord, the Lord spoke to me. It was very clear and what He said was a fresh word to my heart. By that I mean that I had never had...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wivu ungekuwa ni ugonjwa…

SOMO: WIVU UNGEKUWA NI UGONJWA, MADAKTARI WENGI BINGWA WANGEANDALIWA MAANA WATU WENGI SANA WANAUMWA UGONJWA HUU. MAANDIKO: YOH: 11:45-53 1. UTANGULIZI Mojawapo ya tatizo ambalo limeleta madhara katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini Yanipasa Kuokoka?

Inakupasa ndugu kuupokea wokovu kwa sababu ndio mapenzi ya Mungu, Watu wengi sana wamezoea kusema hayakuwa mapenzi ya Mungu, au wengine kuomba hivi “ Mapenzi ya Mungu yafanyike” tena wengi wameizoelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushindi dhidi ya Upinzani – Mama Makange

MAANDIKO: NEHEMIA 4: 1 – 23 MST. KUMB. ZAB. 37: 39; NA WOKOVU WA WENYE HAKI UNA BWANA,YEYE NI NGOME YAO WAKATI WA TAABU. KWELI KUU: Maombi, umoja, Ushirikiano na moyo kwa ajili ya kazi ya Mungu huleta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kukosa maono ni sababu ya kushindwa kwako!! – I

“Pasipo maono watu hushindwa kujizuia” Maono ni kama kesho ya mtu. Kesho ni siku ambayo utarajiwa na haijaonekana bayana bado, na hakuna mwanadamu yeyote chini ya jua aijuaye kesho yake ipoje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kukosa maono ni sababu ya kushindwa kwako – II

Inaendelea kutoka https://strictlygospel.wordpress.com/2015/01/27/kukosa-maono-ni-sababu-ya-kushindwa-kwako-i/ Kutokuwa na vipaumbele katika maisha. Kukosa maono kunapelekea mtu kushindwa kujizuia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu saba zitakazokufanya kuwa mshindi…

Glory to GOD watu wa MUNGU, leo ninataka nizungumze na wewe Sababu saba zitakazokufanya kuwa Mshindi Duniani…Zifuatazo ni Sababu hizo.. 1.NENO LA MUNGU LIWE KWA WINGI NDANI YAKO.. Neno la MUNGU likiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The Power of God in You!

Luke 10:19 “Behold, I give unto you power…” I’m sure that you, like me, have read many inspirational stories over the years. The children of this generation are told stories all the time followed by...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGUVU zako WAKATI wa MAJARIBU!!

“Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri? Je! Nguvu zangu ni nguvu za mawe? Au mwili wangu, je! Ni shaba? Je! Si kwamba sina msaada ndani yangu. Tena kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kudharau vitu vidogo kutatuletea maangamizo makubwa!!

Katika mfululizo wa makala zilizopita tuliangalia maadui wa mafanikio ya mwanadamu kwa kuanza na kukosa maono, na kukata tamaa. Wiki hii tunaendelea na adui wa tatu ambaye ni dharau. Karibu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kula mezani na adui!!

Utangulizi: Katika kitabu cha Mwanzo, tunasoma vile Mungu alivyomuumba mwanadamu na sababu za uumbaji huo. Kulingana na maandiko katika kitabu hicho, tunaelewa wazi kuwa aliumba ili awe mwangalizi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU!- Part I

“Utoaji ulio mwema ni mlango wa mafanikio na uponyaji wa kimwili, kiuchumi, na kiroho”  Dhabihu igusayo moyo wa Mungu ni mlango wa baraka yako.  Watu wengi wamekuwa wakitamani sana kubarikiwa na Mungu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Why Do We Lift Our Hands in Worship?

All through the Bible you see scriptures of people bowing down or lying prostrate, yet some of us have had experiences where we were hesitant to lift our hands in worship. When we feel that gentle tug...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU!- Part 2

Sehemu  tatu za sadaka igusayo moyo wa Mungu Kutoa miili yetu kama sadaka na dhabihu takatifu iliyo hai. Kutoa muda wako kama dhabihu takatifu iliyo hai ili ikamfanyie yeye manukato. Kutoa mali na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kukosa Nidhamu ya Maisha!!

“Fanya kitu sahihi, wakati sahihi na mahali sahihi” Shauri Mara nyingi tumekuwa tukifahamu nidhamu kwa kuzingatia sana masuala ya nje kama vile utii, heshima,unyenyekevu na mengine mengi yafananayo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHAKA NA UOGA NI VIKWAZO VYA KUKUFIKISHA MAHALI UNAPOPASWA KUFIKA.

Usipoweza kujikana na kuthubutu, hutoweza kamilisha mambo makubwa” C,S Lewis Watu wengi wamekuwa wanatamani sana kuwa na maisha yaliyo bora na kuwa na hali njema kiroho lakini miongoni mwa vikwazo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUNGU ANATAFUTA WAMWABUDUO HALISI.

Yohana 4:24  Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Mpendwa wangu, ubarikiwe sana kwa kupita mara kwa mara kwenye huu ukuta kujichotea mafundisho yenye uzima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANENO ya KINYWA CHAKO ni CHAKULA CHAKO!

“Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu” (Zaburi 141:3). “Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!” (Mithali 15:23)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kufurahia thawabu ya kashfa ya uongo….

Amini usiamini! Kumbe kuna thawabu kwa ajili ya kutungiwa kashfa za uongo! Haya si maneno yangu binafsi. Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyesema haya kama ilivyoandikwa hapa chini: “Heri ninyi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMJUA MUNGU

KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na ufahamu wakutosha kumuhusu Mungu.Unafamu yeye ni...

View Article
Browsing latest articles
Browse All 46 View Live