Quantcast
Channel: MAFUNDISHO – Strictly Gospel
Browsing all 46 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jiweke sawa katika utumishi wako 2013!!

—MUNGU ANAPOKUMBUKA Naomba sasa tufunguwe kwa pamoja katika kitabu cha Isaya 43:26, Biblia inasema “Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako”. Mstari tuliousoma unaonyesha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sio miaka yako bali siku zako!!

Wapendwa SG,Nina neno nanyi ,nalo ni hili SIO MIAKA YAKO BALI NI SIKU ZAKO “Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima”. Zaburi 90:12 Kumbe kuna kupata hekima katika kuzihesabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tugeuzwe nia Zetu!

Kugeuzwa nia ni jambo endelevu na la kujizoeza; lakini haliwezekani bila mhusika kuamua kwa dhati. Ni jambo linalotaka maamuzi sahihi na thabiti. Kugeuzwa nia; A) ni utakaso wa mwili mbali na uchafu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo hayajileti Yenyewe…….

MAMBO HAYAJILETI YENYEWE –  MAMBO YANASABABISHWA KUTOKEA. “5Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu,katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa….(2Petro 1:5)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini tunao sikuzote, lakini Yesu….

Shalom Wapendwa, Maskini tunao siku zote, lakini Yesu ….. Napenda kushirikiana nanyi katika ujumbe huu niliou-copy na kuu-edit kutoka kwenye kitabu kiitwacho KUTAWALA FEDHA NA MATUMIZI. Biblia inasema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTOAJI: ANGALIA MADHUMUNI (MOTIVE) YAKO

Wapendwa wana SG, Ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwashirikisha somo hili japo kwa ufupi. Katika nyakati tunazoishi, swala la utoaji limekuwa ni mada kubwa katika makanisa mengi na kupitia mahubiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malezi ya Mtoto – Mithali 22:6

  “Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.” Kumlea mtoto maana yake ni nini ? Ni kumtunza na kumfundisha/kumuelimisha mpaka afikie mahali pa kujitegemea mwenyewe. Ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Happy Father’s Day!!

Fathers, don’t exasperate your children by coming down hard on them. Take them by the hand and lead them in the way of the Master.—Ephesians 6:4 (MSG) Happy Father’s Day to every one you…who are...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuota unakimbizwa na nyoka

Ni ujumbe kwako kwamba roho ya uongo inakunyemelea maana nyoka katika ulimwengu wa roho ni roho ya uongo na kumbuka shetani alivaa umbo la nyoka na kuwadanganya hata akina Adamu na Hawa katika bustani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOA ZAKA kila mwezi au kila upatapo kipato.

Wana SG, mafundisho ya kutoa zaka kila upatapo kipato ni SAHIHI, sio mafundisho potofu hata kidogo. Naomba ninukuu maandiko ambayo tunayafahamu sote kisha nitayafafanua. “Yakobo akaweka nadhiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sifa na kuabudu

Yule mwanamke akamwambia [Yesu], ‘Bwana, naona ya kuwa u nabii. Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.’ Yesu akamwambia, ‘Mama,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubatizo Wa Roho Mtakatifu

Mtu anaposoma kitabu cha Matendo ya Mitume, utendaji wa Roho Mtakatifu katika kanisa la kwanza ni dhahiri kwenye kila ukurasa. Ukiondoa kazi ya Roho Mtakatifu katika kitabu cha Matendo, huna kitu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Roho ya Kukataliwa

Roho ya kukataliwa inawasumbua watu wengi. Wengi wanaosumbuka na kukataliwa inawezekana walikuwa na wazazi wasiojali, wazazi walitengana, wamelelewa na mzazi wa kambo, hawakuwa vizuri darasani, n.k....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hadithi ya Daudi na Goliathi!

 MAMBO YA MSINGI 20 YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA HABARI YA DAUDI NA GOLIATHI. 1SAMWELI 16:1-55, NA 18: 1-5. JINA LA YESU lina uwezo mkubwa kuliko majina yote. Daudi akasema nakujia kwa Jina la BWANA. Tumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake Katika Huduma

Kwa kuwa ni kitu kinachojulikana kwamba wanawake ni zaidi ya nusu katika kanisa la Bwana Yesu Kristo, ni muhimu kuelewa nafasi yao waliyopewa na Mungu katika mwili wa kristo. Katika makanisa mengi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukombozi sio tukio ni safari!!

Pastor Carlos Kirimbai. Kuna wimbi kubwa sana la huduma za ukombozi ambalo limeibuka katika siku za hivi karibuni. Zingine ni halisi lakini nyingi sio hata kidogo. Sasa sio nia ya post hii kuhukumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yesu asema na John Mulinde!

Bwana asifiwe wapendwa Nawasalimu nyote kwa Jina la Yesu Kristu. Naombeni mkipata nafasi msikilize huyu mtumishi wa Mungu kutoka Uganda anaitwa John Mulinde “After working in the power of the Holy...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vuka Historia Yako

Bwana YESU Asifiwe, kwanza nataka ujue kuna watu HISTORIA ya Maisha yao imesimama hapo hapo haiendi mbele wala hairudi Nyuma,Wakati Mwingine hali hii imesababisha hata watu wako wa karibu waone hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatua kwa Hatua na Bwana

Amani ya Bwana iwe nanyi enyi nyote,   Baraka nyingi za Kiroho na Kimwili tayari tunazo na zinajidhirisha ktk macho ya nyama na rohoni lakini pia zile zinazofahamika kama kubwa-kubwa tunazotakaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa watu wa Mungu!

Watu wa Mungu, ashukuriwe Mungu atupaye uzima na ya kwamba tu hai tena kwa neema yake. Tunalo la kujivunia lakini si katika miili hii tuliyo nayo bali kwa kuwa tumeipata neema ya Jehova. Ndugu...

View Article
Browsing all 46 articles
Browse latest View live