Kukosa Nidhamu ya Maisha!!
“Fanya kitu sahihi, wakati sahihi na mahali sahihi” Shauri Mara nyingi tumekuwa tukifahamu nidhamu kwa kuzingatia sana masuala ya nje kama vile utii, heshima,unyenyekevu na mengine mengi yafananayo na...
View ArticleMASHAKA NA UOGA NI VIKWAZO VYA KUKUFIKISHA MAHALI UNAPOPASWA KUFIKA.
Usipoweza kujikana na kuthubutu, hutoweza kamilisha mambo makubwa” C,S Lewis Watu wengi wamekuwa wanatamani sana kuwa na maisha yaliyo bora na kuwa na hali njema kiroho lakini miongoni mwa vikwazo vya...
View ArticleMUNGU ANATAFUTA WAMWABUDUO HALISI.
Yohana 4:24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Mpendwa wangu, ubarikiwe sana kwa kupita mara kwa mara kwenye huu ukuta kujichotea mafundisho yenye uzima...
View ArticleMANENO ya KINYWA CHAKO ni CHAKULA CHAKO!
“Ee BWANA, uweke mlinzi kinywani pangu, Mngojezi mlangoni pa midomo yangu” (Zaburi 141:3). “Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!” (Mithali 15:23)...
View ArticleKufurahia thawabu ya kashfa ya uongo….
Amini usiamini! Kumbe kuna thawabu kwa ajili ya kutungiwa kashfa za uongo! Haya si maneno yangu binafsi. Yesu Kristo mwenyewe ndiye aliyesema haya kama ilivyoandikwa hapa chini: “Heri ninyi...
View ArticleKUMJUA MUNGU
KUMJUA MUNGU NI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO YOTE 21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21 Kumjua Mungu ni kuwa na ufahamu wakutosha kumuhusu Mungu.Unafamu yeye ni...
View Article