Ijue Vita yako – 1
IJUE VITA YAKO UTANGULIZI: Biblia hutueleza kuwa mkristo anayo vita anayopaswa kupigana katika maisha haya. Ingawa vita si jambo linawafurahisha watu wengi, hata hivyo biblia inasema kwa mkristo...
View ArticleKUSHINDANIA IMANI
. Historia imejaa simulizi ya watu waliotetea na kushindania imani zao dhidi ya upinzani. Wapenzi nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari za wokovu ambao ni wetu sisi sote, Naliona...
View ArticleKiwango cha Mungu – Double Agent
UTANGULIZI. Pamoja na mabadiliko makubwa ya nyakati zetu katika siasa, uchumi utamaduni (maadili) na kidini. Mungu anacho kiwango chake ambacho ndicho anakubaliana nacho katika maisha yetu. Ili tuweze...
View ArticleFinish What You’ve Started
Have you ever started a project and not finished it? Or put a dream on hold because other things got in the way? I think we’ve all experienced these frustrations at some point in our life. The truth...
View ArticleUTISHO WA KUFUFUKA!!
MAANDIKO: YOSH. 5: 1 (YOSH. 2: 1 – 24) Mojawapo ya ahadi toka kwa Mungu wetu tunayemtumikia, ni pamoja na kutuma utisho wake mbele yetu (utisho wa Mungu wetu) huwa unatangulia daima mbele na...
View ArticleHow God See us!!
Most of us look at ourselves in a mirror daily. We see what we see. You see yourself through your eyes and from perspective. Have you ever thought about how God sees you? Actually that thought scares...
View ArticleThis is What Happens When We Worship the Lord
by Pastor Tim Burt One morning while I was praying and worshiping the Lord, the Lord spoke to me. It was very clear and what He said was a fresh word to my heart. By that I mean that I had never had...
View ArticleWivu ungekuwa ni ugonjwa…
SOMO: WIVU UNGEKUWA NI UGONJWA, MADAKTARI WENGI BINGWA WANGEANDALIWA MAANA WATU WENGI SANA WANAUMWA UGONJWA HUU. MAANDIKO: YOH: 11:45-53 1. UTANGULIZI Mojawapo ya tatizo ambalo limeleta madhara katika...
View ArticleKwanini Yanipasa Kuokoka?
Inakupasa ndugu kuupokea wokovu kwa sababu ndio mapenzi ya Mungu, Watu wengi sana wamezoea kusema hayakuwa mapenzi ya Mungu, au wengine kuomba hivi “ Mapenzi ya Mungu yafanyike” tena wengi wameizoelea...
View ArticleUshindi dhidi ya Upinzani – Mama Makange
MAANDIKO: NEHEMIA 4: 1 – 23 MST. KUMB. ZAB. 37: 39; NA WOKOVU WA WENYE HAKI UNA BWANA,YEYE NI NGOME YAO WAKATI WA TAABU. KWELI KUU: Maombi, umoja, Ushirikiano na moyo kwa ajili ya kazi ya Mungu huleta...
View ArticleKukosa maono ni sababu ya kushindwa kwako!! – I
“Pasipo maono watu hushindwa kujizuia” Maono ni kama kesho ya mtu. Kesho ni siku ambayo utarajiwa na haijaonekana bayana bado, na hakuna mwanadamu yeyote chini ya jua aijuaye kesho yake ipoje...
View ArticleKukosa maono ni sababu ya kushindwa kwako – II
Inaendelea kutoka https://strictlygospel.wordpress.com/2015/01/27/kukosa-maono-ni-sababu-ya-kushindwa-kwako-i/ Kutokuwa na vipaumbele katika maisha. Kukosa maono kunapelekea mtu kushindwa kujizuia na...
View ArticleSababu saba zitakazokufanya kuwa mshindi…
Glory to GOD watu wa MUNGU, leo ninataka nizungumze na wewe Sababu saba zitakazokufanya kuwa Mshindi Duniani…Zifuatazo ni Sababu hizo.. 1.NENO LA MUNGU LIWE KWA WINGI NDANI YAKO.. Neno la MUNGU likiwa...
View ArticleThe Power of God in You!
Luke 10:19 “Behold, I give unto you power…” I’m sure that you, like me, have read many inspirational stories over the years. The children of this generation are told stories all the time followed by...
View ArticleNGUVU zako WAKATI wa MAJARIBU!!
“Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri? Je! Nguvu zangu ni nguvu za mawe? Au mwili wangu, je! Ni shaba? Je! Si kwamba sina msaada ndani yangu. Tena kwamba...
View ArticleKudharau vitu vidogo kutatuletea maangamizo makubwa!!
Katika mfululizo wa makala zilizopita tuliangalia maadui wa mafanikio ya mwanadamu kwa kuanza na kukosa maono, na kukata tamaa. Wiki hii tunaendelea na adui wa tatu ambaye ni dharau. Karibu katika...
View ArticleKula mezani na adui!!
Utangulizi: Katika kitabu cha Mwanzo, tunasoma vile Mungu alivyomuumba mwanadamu na sababu za uumbaji huo. Kulingana na maandiko katika kitabu hicho, tunaelewa wazi kuwa aliumba ili awe mwangalizi wa...
View ArticleSADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU!- Part I
“Utoaji ulio mwema ni mlango wa mafanikio na uponyaji wa kimwili, kiuchumi, na kiroho” Dhabihu igusayo moyo wa Mungu ni mlango wa baraka yako. Watu wengi wamekuwa wakitamani sana kubarikiwa na Mungu...
View ArticleWhy Do We Lift Our Hands in Worship?
All through the Bible you see scriptures of people bowing down or lying prostrate, yet some of us have had experiences where we were hesitant to lift our hands in worship. When we feel that gentle tug...
View ArticleSADAKA IGUSAYO MOYO WA MUNGU!- Part 2
Sehemu tatu za sadaka igusayo moyo wa Mungu Kutoa miili yetu kama sadaka na dhabihu takatifu iliyo hai. Kutoa muda wako kama dhabihu takatifu iliyo hai ili ikamfanyie yeye manukato. Kutoa mali na...
View Article